Carlos Tevez ameendelea kuwa mtamu zaidi ya
Mcharo baada ya kuingoza Juventus kupata ushindi wa mabao 2-1 katika mechi ya
kwanza ya Ligi ya Mabingwa hatua ya 16 Bora.
Tevez ndiye alifunga bao la kwanza huku
Alvaro Morata akitupia la pili.
Marco Reus alifunga bao pekee la Dortmund
waliokuwa ugenini hivyo kufanya mabao yote ya mechi hiyo kuwa yamefungwa katika
kipindi cha kwanza.
Tevez alikuwa mwiba kwa mabeki wa Dortmund,
hata hivyo walijitahidi kuhakikisha hawafungwi mabao mengi zaidi.
LISTI:
Juventus
starting XI: Buffon, Lichtsteiner, Bonucci, Chiellini, Evra,
Marchisio, Pirlo, Pogba, Vidal, Tevez, Morata
Juve
subs: Storari, Caceres, Ogbonna, Padoin, Pereyra,
Coman, Llorente
Borussia
Dortmund XI: Weidenfeller,
Piszczek, Sokratis, Hummels, Schmelzer, Gundogan, Sahin, Mkhitaryan, Reus,
Aubameyang, Immobile
Subs: Langerak, Ginter, Kirch, Kagawa, Kuba,
Kehl, Ramos
Referee: Antonio Mateu Laho
0 maoni:
Post a Comment