Kocha
Msaidizi wa Yanga SC, Charles Boniface Mkwasa (kulia) akiwa na
wachezaji wake eneo la mapokezi katika hoyeli ya Oasis mjini Gaborone,
Botswana mchana wa leo baada ya kuwasili kwa ajili ya mchezo wa
marudiano, Raundi ya Awali Kombe la Shirikisho Afrika (CAF)
utakaofanyika keshokutwa nchini humo. Yanga SC ilishinda 2-0 katika
mchezo wa kwanza mjini Dar es Salaam. |
0 maoni:
Post a Comment