Mchezaji anayeshikilia rekodi ya
kuichezea Yanga SC miaka mingi zaidi bila kuhama ni Keneth Mkapa.
Yasemekana ameitumikia Yanga zaidi ya miaka 13 huku Mchezaji
aliyeitumikia Yanga kwa muda mchache zaidi ni Emerson toka nchini
Brazil. Aliitumikia Yanga kwa dakika 45 tu kwenye mechi ya mtani jembe.
Baada ya hapo mkataba wake ulivunjwa.
0 maoni:
Post a Comment