Aston Villa imemtimua kocha wake
Paul Lambert baada ya Klabu hiyo kushuka kwenye Msiamo wa ligi kuu
England na kuwa hatarini kushuka daraja
Villa ilipoteza mchezo kwa
kupigwa Mabao mawili kwa sifuri na Hull city siku ya jumanne, ikiwa ni
mechi yao ya 10 bila kuondoka na ushindiMskoti huyu aliteuliwa mwaka 2012, na kusaini mkataba ambao utamalizika mwezi June mwaka 2018.
Kocha wa kikosi cha kwanza Scott Marshal na Kocha wa Magolikipa Andy Marshall wanashikilia nafasi ya Lambert kwa sasa
0 maoni:
Post a Comment