Kikosi
cha Carlo Ancelotti kiliifunga Sevilla mabao 2-1 kuendelea kuongoza kwa
pointi nne zaidi La Liga, na sasa wanaelekeza nguvu zao kwa wapinzani
wao wa jiji la Madrid, wakiwakosa baadhi ya wachezaji muhimu.
James
Rodriguez na Sergio Ramos wote walitolewa nje ndani ya dakika 25 Uwanja
wa Bernabeu baada ya kuumia. Na taarifa imethibitisha Ramos ameumia
nyama za paja, wakati maumivu ya Rodriguez ni makubwa, amevunjika mguu
na atahitaji upasuaji.
Sergio Ramos (kulia) akiwa ameshika nyama za paja wakati anatoka jana
0 maoni:
Post a Comment