Kutoka kushoto Enock,
Maromboso, Beka na Aslay wakiwa wameshikilia ticket zao za ndege
ambazo walikabidhiwa rasmi na mkurugenzi wa Zurii house of Beauty
Jestina George Meru.
Yamoto
Band wanatarijiwa kufanya Live show kwenye jiji London siku ya tarehe
21.02.2015 katika ukumbi wa Royal Regency Banguet Hall
Zuri House of Beauty CEO Jestina George Meru akiwa kwenye picha ya pamoja na timu nzima ya Yamoto Band
Kama kawaida Ukitembelea Zurii House of Beauty huondoki mkono mtupu
UK
na Europe yote Siku ya Jumamosi tarehe 21 Feb 2015 tukutane pale kwenye
ukumbi wa Royal Regency Manor Park London Kwani Hiyo ndio sehemu pekee
kwenye jiji la London utapopata Burudani ya kukata na shoka kutoka kwa
No1 band ya Tanzania Hakuna wengine ni wale wale vijana wetu wanne
machachari wanaoitikisha East Africa sasa hivi YAMOTO BAND aka MKUBWA na
WANAWE.
0 maoni:
Post a Comment