Kocha mstaafu, Alex Ferguson yuko katika hatua
za mwisho kutoa kitabu kingine.
Taarifa zimeeleza kitabu hicho zaidi kitalalia
katika suala la ufundi uwanjani na nini alichofanya akiwa kocha.
Tayari wachambuzi wa soka Ulaya wameishaanza kusema kuwa kitabu hicho huenda kitakuwa msaada mkubwa kwa kocha wa sasa wa Man United, Louis van Gaal.
0 maoni:
Post a Comment