Linex kwenye kolabo hii amesema kuwa haikuwa imepangwa yaani ni
miongoni mwa kolabo ambazo yeye na Diamond haikupangwa,Diamond aliukuta
wimbo studio akaupenda akamfahamisha Linex wakaamua kufanya kwa pamoja
singo inaitwa Salima,hii ni singo ya pili kwa Linex kufanya na Diamond
baada ya ile ya kwanza iliyoitwa Nitaificha wapi.
Bonyeza play kutazama wimbo huu.
Bonyeza play kutazama wimbo huu.
0 maoni:
Post a Comment