Tanzania imepaa na kushika nafasi ya 100 katika
viwango vya Ubora vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa).
Tanzania imepanda hadi nafasi ya 100 baada ya
kupanda nafasi saba mfululizo.
Wakati Tanzania iepanda nafasi hizo na kushika
nafasi ya 100, Rwanda imezidi kupaa kwa kushika nafasi ya 64 baada ya kupanda
nafasi nane.
Uganda nayo imepanda nafasi mbili na kushika
nafasi ya 74 huku Kenya ikiendelea kusuasua katika nafasi ya 118.
0 maoni:
Post a Comment