GUINEA
imeshinda kamari iliyopigwa kupata timu ya pili ya kundi D inayofuzu
robo fainali ya kombe la Mataifa ya Africa, Afcon 2015 na sasa itacheza
na Ghana katika hatua hiyo.
Sheria ya CAF kipengele cha 74 kimetumika kuamua mshindi baina ya Mali na Guinea ambao walimaliza wakifanana kwa kila kitu.
Sheria hiyo pia inatumika na shirikisho la soka Duniani FIFA.
0 maoni:
Post a Comment