Ivory Coast imefuzu hadi hatua ya robo fainali ya michuano ya Afcon inayoendelea nchini Equatorial Guinea baada ya kuichapa Cameroon kwa bao 1-0.
Lakini pigo kwa Afrika Magharibi baada ya
Cameroon kufuzu katika hatua hiyo ya makundi.
Lakini gumzo ni Mali na Guinea ambazo zimeringana
pointi tatu kila moja, mabao ya kufunga na kufungwa.
Caf ilieleza utafanyika utaratibu wa droo
ili kupata uhakika timu gani iliyofuzu na baadhi waliishatangaza kuwa Guines
ndiyo iliyofuzu.
Timu hizo mbili zilitoka sare ya bao 1-1
katika mechi yao ya mwisho na kufikisha pointi tatu huku Cameroon ikishika mkia
kwa kuwa na pointi 2 na vinara ni Ivory Coast wenye pointi 5.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
0 maoni:
Post a Comment