Muimbaji wa hit single ya msambinungwa Tunda man amekutana na kigingi kizito katika mpango wake wa kufungua shule ya muziki
Tunda man alisema kuwa aliambiwa kuna vitu atimize alafu ndo afanye hivyo kwa hiyo nimeambiwa nikamilishe vigezo ndo kibali nitapewa kwa sababu hii ni shule kama shule nyingine,kwahiyo tupo kwenye kukamilisha hivyo vigezo na kuna watu nashilikiana nao kwa sababu wao wana elimu ya kutosha kwenda kulipa TRA na kuna mengine yapo deep sana alisema tunda man.
Mimi nilijua suala rahisi sana kumbe kuna vitu vingi vinatakiwa kuvikamilisha kitaaluma zaidi na si kimuziki. Nadhani kabla ya pasaka kila kitu kitakuwa tayari na wanafunzi wataanza kujifunza.

0 maoni:
Post a Comment