RAUNDI ya tano ya kombe la FA nchini England inaendelea leo kwa mechi nne kupigwa.
West Brom wako nyumbani kuikaribisha West Ham United, wakati Derby inachuana na Realding.
Mechi nyingine inawakutanisha Blackburn dhidi ya Stoke City.
Wekundu wa Anfield, Liverpool wanashuka dimbani ugenini kuchuana na Crystal Palace.
Michuano hiyo itaendelea kesho jumapili (Februari 15) kwa mechi tatu kupigwa.
Aston Villa wataikaribisha
Leicester, Bradford watachuana na Sunderland, wakati Arsenal watakuwa
nyumbani kupepetana na Middlesbrough.
0 maoni:
Post a Comment