KIVYAKO VYAKO,,,,,
Mshambuliaji wa kimataifa wa England,,, ambaye kwa sasa anakipiga Sunderland,,, (Jamein defoe),,, ameweka rekodi ya kuzifunga timu zote za ligi kuu England,,, huku mhanga wa kipigo kikubwa wakiwa ni Man city,,, waliofungwa goli 6 ,,,

,,,,,,,,,,, JILIWAZE KIDOGO,,,,,,
Arsenal ndio timu pekee kutoka England iliyoshiriki mara nyingi zaidi ligi ya mabingwa,,, kuliko timu yoyote ile mpaka sasa,,, na pia ndio timu pekee kutoka England iliyoshiriki michuano ya ligi ya mabingwa ulaya bila kutwaa ubingwa,,, na wala hawana ndoto za kufanya hivyo siku za karibuni,,,

,,,,,,,,KIFUTA JASHO,,,,
LIVERPOOL ndio timu pekee inayoshiriki ligi kuu England kwa sasa,, ambayo haijapoteza mchezo toka mwaka huu 2015 uanze,, na ndio mana
haikushangaza mchezaji bora wa mwezi January kapewa Emre can,,, na kocha bora January Brendan Rogers,,,

,,,,,,,,HAYAKUHUSU,,,,,,,
Combination ya Radamel Falcao na Robin van Persie inachukuliwa ndio combination mbovu kuliko zote zilizowahi kutokea Man Utd,,, ukosefu wao wa magoli na kushindwa kuelewewana kiuchezaji kumepelekea captain Rooney kususa kuwapelekea mipira na kuamua kucheza kama defense midfielder ili kuwafundisha wajibu,,,

,,,,TUKUTANE TAIFA LEO
0 maoni:
Post a Comment