Leroy
Fer akipiga mpira kichwa mbele ya Liam Bridcutt kuunganisha krosi ya
Matt Phillips kumtungua kipa Costel Pantilimon kuifungia QPR bao la
kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Sunderland Uwanja wa Light
usiku wa jana. Bao la pili la QPR lilifungwa na Bobby Zamora na ushindi
huo wa kwanza ugenini msimu wote huu, unaitoa timu hiyo nafasi za
mkiani.
LL
LL
0 maoni:
Post a Comment