Wachezaji
wa Everton wakiwa hoi jana Uwanja wa NSK Olimpiyskiy mjini Kiev, baada
ya kufungwa mabao 5-2 na wenheji Dynamo Kiev katika mchezo wa marudiano
hatua ya 16 Bora Europa League hivyo kutolewa kwa jumla ya mabao 6-4,
baada ya awali kushinda 2-1 nyumbani.
0 maoni:
Post a Comment