February
2 2015 bondia Mtanzania Francis Cheka alihukumiwa kifungo cha miaka
mitatu gerezani pamoja na faini aliyoitaja kuwa milioni moja na laki
sita baada ya kupatikana na kosa la kumpiga meneja aliekua amemuajiri
kwenye Bar yake Morogoro.
Ni hukumu ambayo kila mmoja ameipokea kwa muonekano wake ambapo japo Rapper Fid Q hakumtaja mtu kwenye tweet hiyo, imeonekana kama inahusu kilichomtokea Francis Cheka ambacho kimejadiliwa na watu mbalimbali kwenye twitter wiki hii.
Fid aliandika ‘Una muajiri mtu kwa nia nzuri, yeye anakuibia na ukimuhoji anakupa majibu ya dharau wakati anajua wewe ni mbabe, na ukimdunda unaswekwa je

0 maoni:
Post a Comment