Kiungo
mpya wa Chelsea, Juan Cuadrado (kushoto) akipokea maelekezo kutoka kwa
kocha Jose Mourinho baada ya kuanza mazoezi na timu yake hiyo mpya leo.
Cuadrado alisaini Mkataba wa miaka minne na nusu Chelsea juzi kutoka
Fiorentina kwa dau la Pauni Milioni 27 na leo amefanya mazoezi kujiandaa na mechi dhidi ya Aston Villa.
,
0 maoni:
Post a Comment