Kweli Ligi Kuu Bara ngumu, Azam FC na Mbeya
City, kila moja ikiwa ugenini imebanwa na kujikuta ikiambulia sare.
Ruvu JKT 1-1 Mbeya City
Bao la JKT limefungwa na Ally Bilal katika
kipindi cha kwanza wakati la Mbeya City limefungwa na Kenny Ally aliyesawazisha
katika kipindi cha pili.
Polisi 2-2 Azam FC
Mabao ya Azam FC yamefungwa na pacha Kipre Tchetche katika dakika ya 10 na Kipre Bolou.
0 maoni:
Post a Comment