Ni mara chache kwa mastaa wa kike wa muziki Marekani kuona wakiweka picha za watoto wao mara baada ya kutoka kujifungua.
Imewachukua muda mrefu mastaa kama Kim Kardashian, Beyonce, Kelly Rowland na wengine kuonyesha watoto wao wakiwa bado wachanga lakini kwa Shakira na mume wake Gerard Pique imekuwa tofauti kwani ni wiki moja tungu wapate ugeni katika familia yao na wameamua kuonyesha picha za mtoto wao.
Katika picha hiyo wawili hao waliandika kuwa wanafuraha kubwa kumkaribisha mtoto wa pili Sasha katika familia yao na kuwashukuru mashabiki wao kwa kuwatakia heri.
0 maoni:
Post a Comment