Kocha wa Polisi Moro, Adolf Rishard
amewaambia Simba haitakuwa kazi lahisi leo.
Simba inashuka dimbani Jamhuri mjini
Morogoro katika mechi ya Ligi Kuu Bara.
Rishard amesema kikosi chake kimejiandaa na
ana imani kubwa kuwa wataonyesha mchezo mzuri.
“Tunajua Simba ni timu nzuri, lakini lazima wakubali haitakuwa kazi lahisi. Lengo letu ni kupata pointi tatu,” alisema.
0 maoni:
Post a Comment