Romelu Lukaku anaweza kuondoka Goodison
KLABU za
West Ham na Tottenham zimeanza mipango ya kumshawishi mshambuliaji wa
Everton, Romelu Lukaku ili kuinasa saini yake majira ya kiangazi mwaka
huu.
Wiki
iliyopita Lukaku alisema yuko tayari kuondoka Goodison ikiwa ni msimu
mmoja tu tangu asajiliwe kwa paundi milioni 28 majira ya kiangazi
kutokea Chelsea.
Nyota huyo alisema kama itawezekana anaweza kurudi hata Chelsea, lakini haitatokea.
0 maoni:
Post a Comment