Feb 1, 2015

LUKAKU AING'ARISHA EVERTON LIGI EPL


.
Mshambuliaji Lukaku ameifungia timu yake ya Everton katika ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Crysta lpalace ugenini mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Seihust  Lukaku alifunga katika dakika ya pili ya mchezo.

0 maoni:

Post a Comment