Wakati dirisha la usajili linafungwa Ulaya; Hatem Ben Arfa baada ya
kufeli Newcastle na kushindwa kuonyesha cheche, ameamua kurejea kwa Ufaransa.
Taarifa zimeeleza kuwa Ben
Arfa ambaye awali alifananishwa na Lionel Messi, ameamua kujiunga na klabu ya Nice.
Vyombo vya habari vya Ufaransa vimeeleza mchezaji huyo anatua Ufaransa leo Jumanne.
0 maoni:
Post a Comment