Timu ya Totenham hotspur wamemtoa kwa mkopo mchezaji wake Aaron Lenon kwenda katika klabu ya Everton. Lenon alijiunga Totenham akitokea leeds kama kijana mwaka 2005. Staa huyo wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 27 bado anauwezo lakini ujio wa vijana katika klabu ya Totenham umemfanya asotee bench. Kocha wa Everton Robert Martnez anaamini mchezaji huyo bado anakiwango na ataisaidia timu hiyo yenye maskani yake Goodson Park
0 maoni:
Post a Comment