Feb 3, 2015

CUADRADO RASMI CHELSEA

 Official: Chelsea sign Cuadrado from Fiorentina

Chelsea wamefanikiwa kumsajili Mchezaji wa Fiorentina Juan Cuadrado kwa mkataba wa miaka minne na nusu. Blues kwa muda mrefu walikuwa wana mfuatilia Mchezaji huyo ambaye klabu ya Man united, Barcelona pia zili mfuatilia lakini juhudi zao hazikuweza kuzaa matunda.

0 maoni:

Post a Comment