Hatimaye Man United
imeachana na biashara ya mkopo na kumuachia kabisa Wilfred Zaha arejee zake Crystal
Palace, mapema haikuwekwa wazi kauzwa kwa kiasi gani.
Zaha amejiunga rasmi na
timu yake ya zamani ambayo alikuwa akiichezea kwa mkopo baada ya United
kumruhusu.
Aliondoka CP kujiunga na Man United kwa kitita cha pauni milioni 15 mwaka 2013, lakini mambo hayakumuendea vizuri OT.
0 maoni:
Post a Comment