Amani ,Furaha imerejea miongoni mwa mashabiki wa Man United baada ya kipa wao namba moja David De Gea kubaki katika timu hiyo yenye maskani yake Mjini Manchester nchini England. Awali viongozi wa Real Madrid walikuwa wakimfuatilia ili kumsajili katika klabu yao, Lakini juhudi zao hazikufanikiwa na wanajipanga usajili ujao.
0 maoni:
Post a Comment