Katika
kuelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania, amani ikiwa ni somo
kubwa linalohubiriwa kwa wananchi kila ngazi, nyota wa muziki Ali Kiba,
amesema kuwa yeye pamoja na sanaa yake amekuwa kati ya wadau
wanaolitilia mkazo suala hili.
Msanii wa muziki wa bongo fleva nchini, Ali Kiba
Ali
Kiba amesema kuwa, Tanzania imekuwa ni nchi ambayo inatambulika kwa
amani, changamoto kubwa ikiwa ipo katika nchi za jirani ambapo
amekwishaenda si tu kwa kutoa burudani, bali kwa kuhamasisha amani kwa
wapenzi wa kazi zake.
0 maoni:
Post a Comment