Miaka
10 ya THT inakamilishwa Jumamosi ya January 31 kwenye ukumbi wa Escape
One uliopo Mikocheni,maandalizi ya mwisho kabisa kutoka Escape One
yamekamilika na baadhi ya wasanii wanaoperfoam kesho wamefika kwa ajili
ya mazoezi ya jukwaani nimeona nikuletee picha hizi mtu wangu.
0 maoni:
Post a Comment