Rapper Mwana FA amesema kuwa wakati wanarekodi video ya Kiboko Yangu ilibidi warekodi mara mbili kutokana na Camera kuleta usumbufu baada ya kurekodi sehemu ya Ali Kiba,
kwa kuwa alikuwa na ratiba ya kufanya show ilimbidi asafiri kwenda
kwenye show kisha akarudi kumalizia sehemu ya video hiyo kitu ambacho
kilifanya gharama ziongezeke.
FA amesema video hiyo imepanda ubora ukilinganisha na video zake zote zilizopita, Mike Tee ni mshkaji wake wa karibu ambaye alichangia pia kumpa idea ya kufanya video hiyo.
0 maoni:
Post a Comment