Mbali na wawili hao kufanya collabo ya pamoja
kwenye ngoma ya Jaguar mwenyewe iitwayo “One centimeter rmx” akiwa
amemshirikisha Iyanya kutoak Nigeria waliingia kwenye utata baada tu ya
kutoa ngoma yao hiyo.Utata huo ulianza baaada ya kusambaa kwa video hiyo
ambapo Jaguar alitaka ifike kimataifa lakini hakuonesha juhudi zozote
za kui-push video hiyo.Iyanya alisema kwamba Jaguar ni mvivu wa kusukuma
ngoma zake zifike kimataifa kama wengine wanavyofanya.Pia alisema
hakuona Iyanya nimefanya collaboz na Diamond na Sauti soul laikini wao
ndio wanao push ngoma zao kufika vituo mbali mbali lakini kwake Jaguar hafanyi hvyo kwani amekua akitegemea mimi ndio nifanye hivyo.
0 maoni:
Post a Comment