November 26, 2014 taarifa kubwa kutoka Nigeria ilikuwa ni taarifa ya msiba wa mzee Moses Okoye, baba mzazi wa mastaa wa muziki kutoka Nigeria, P Square.
Tangu mzee
huyo afariki ni miezi miwili sasa, yamepita matukio mengi huenda tukawa
tumeanza kusahau tukio hilo, story iliyoko mitandaoni kutoka Nigeria ni
kuhusu ndugu pamoja na familia ya mzee huyo kuandaa mazishi yake.
Leo tarehe 30 january ndio siku ya mazishi ya baba yao p-square
0 maoni:
Post a Comment