Sturridge (kulia) alifanya mazoezi jana na anaweza
kuichezea Liverpool kesho baada ya kukaa nje ya uwanja kwa muda mrefu
kutokana na majeruhi
CHELSEA inaikaribisha Manchester City kwenye uwanja wa
Stamford Bridge kesho kuwania pointi tatu muhimu katika mechi ya ligi
kuu England.
Mashetani wekundu, Manchester United nao watakuwa nyumbani
Old Trafford Leicester City, wakati huo huo Liverpool watakuwa nyumbani
Anfield kuchuana na West Ham.
RATIBA NZIMA YA MECHI ZA KESHO EPL HII HAPA
January 31
15:45
Hull City
? – ?
Newcastle United
18:00
Crystal Palace
? – ?
Everton
18:00
Liverpool
? – ?
West Ham United
18:00
Manchester United
? – ?
Leicester City
18:00
Stoke City
? – ?
Queens Park Rangers
18:00
Sunderland
? – ?
Burnley
18:00
West Bromwich Albion
? – ?
Tottenham Hotspur
20:30
Chelsea
? – ?
Manchester City
0 maoni:
Post a Comment