
Na Haji balou
Leo may 10 ligi ya Mbuzi vijana Cup imeendelea tena kwa mchezo mmoja kupigwa katika uwanja wa shule ya msingi muungano mechi kati ya Sido fc dhidi ya Black star.
Mpaka kipindi cha kwanza kinamalizika hakuna timu ambayo ilifanikiwa kuona lango la mwenzake lakii kipindi...