
Wazazi
wa Lionel Messi na ndugu zake wawili ilibidi waondolewe jukwaani na
kupelekwa sehemu nyingine kwa ajili ya usalama wao kufuatia mashabiki wa
Chile kuwashambulia wakati mchezo wa fainali ya Copa America unaendelea
kati ya Argentina dhidi ya Chile jana usiku.
Dakika chache kabla ya timu...