SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Jan 29, 2015

Usher Raymond aliingia zake mtaani, akatoa bonge la burudani lakini hakuna aliyemjua!

Mkali wa R&B Usher Raymond aliingia mtaani akiwa amevaa nguo ambazo watu hawakumtambua, akaachia bonge la burudani kwa kuachia bonge la show. Waliosimama kumuangalia walivutiwa na vitu viwili, kwanza ni mavazi ya rangi ya dhahabu aliyoyavaa na pia namna alivyocheza vizuri. Burudani...

MASAU BWIRE ATUA OFISI ZA CHAMPIONI KUHAKIKI PICHA ZA TAMBWE KUKABWA

MHARIRI KIONGOZI WA CHAMPIONI, SALEH ALLY (KUSHOTO) AKIMUONYESHA MASAU BWIRE PICHA HALISI YA TAMBWE AKIKABWA NA GEORGE MICHAEL. KULIA NI MHARIRI WA GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO, PHILLIP NKINI. Kuonyesha hataki mzaha, Msemaji wa Ruvu Shooting, Masau Bwire ametua kwenye ofisi za Gazeti...

JOSE MOURINHO AANZISHA ‘NONGWA’ NA FA

Jose Mourinho na  Diego Costa wakizungumza wakati wa mechi dhidi ya Liverpool Jose Mourinho amenuna baada ya chama cha soka England, FA kusema kinamtoza faini Diego Costa kwa kuonesha mchezo usiokuwa wa kiungwana. Mourinho ...

TAMBWE: BADO HATUJAFIKIA KIWANGO TUNACHOTAKA NA HATUJAKATA TAMAA

TAMBWE(KULIA) AKIWA MAZOEZINI YANGA Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe amesema licha ya kutofanya vizuri katika kiwango anachotaka yeye na wenzake, wamekuwa wakiendelea kujituma tu. Tambwe amesema wamekuwa wakijituma kwa juhudi kubwa huku wakiamini mambo yatabadilika kama hawatakata...

PLUIJM ASEMA WATAIMARIKA KWA KUCHEZA MECHI NGUMU

PLUIJM (KUSHOTO) AKIWA NA MENEJA WA YANGA, HAFIDHI SALEH. Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van der Pluijm amesema kikosi chake kitakuwa kinaimarika zaidi kutokana na wanavyocheza mechi ngumu. Pluijm raia wa Uholanzi amesema kikosi chake kina ubora wa juu lakini kuna mambo yanayotakiwa kurekebishwa. "Ndiyo...

Chelsea kumuuza mchezaji Schurrle

  Andre Schurrle Chelsea imekubali kumuuza mshambuliaji wake Andre Schurrle ili kupata ufadhili wa kumsajili Juan Cuadrado. Hatua hiyo ya kumsajili Cuadrado mwenye umri wa miaka 26 inaweza kukamilishwa katika mda unaohitajika kwa yeye kuichezea Chelsea...

JAY MOE; NARUDI KIVINGINE MSISHANGAE MKINISIKIA KWENYE BEAT KAMA ZA AKINAASAP ROCKY AU FRENCH MONTANA

Jay moe anarudi tena. Hata hivyo ametoa onyo kwa mashabiki wake wa kitambo wasistuke sana kumsikia akirap tofauti na walivyo mzoea. Akiongea na kipindi cha Siz kitaa kinachorushwa na clouds tv hit maker huyo wa "kama unataka demu" amedai kuwa baada ya kukaa kimya kwa miaka miwili ambapo alikuwa anafanya...

GUINEA YASHINDA BAHATI NASIBU NA KUTINGA ROBO FAINALI AFCON

GUINEA imeshinda kamari iliyopigwa kupata timu ya pili ya kundi D inayofuzu robo fainali ya kombe la Mataifa ya Africa, Afcon 2015 na sasa itacheza na Ghana katika hatua hiyo. Sheria ya CAF kipengele cha 74 kimetumika kuamua mshindi baina ya Mali na Guinea ambao walimaliza wakifanana kwa kila...

SHULE YA MUZIKI ALIYO AHIDI KUFUNGUA TUNDA MAN YAMTOA JASHO

 Muimbaji wa hit single ya msambinungwa Tunda man amekutana na kigingi kizito katika mpango wake wa kufungua shule ya muziki Tunda man alisema kuwa aliambiwa kuna vitu atimize alafu ndo afanye hivyo kwa hiyo nimeambiwa nikamilishe vigezo ndo kibali nitapewa kwa sababu hii ni shule kama shule...

Kombe la mataifa ya Afrika 2015 - Mpangilio na matokeo

Awamu ya makundi Hatua ya mwondoano selected 31 Januari 2015 Congo ...

NASRI ATUPIA PICHA KWENYE MTANDAO AKIMALIZIA KULA BATA

SAMIR NASRI AMETUPIA PICHA KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM AKIONYESHA ANAKULA BATA TU. KIUNGO HUYO WA MAN CITY ALIKUWA MAJERUHI LAKINI INAONEKANA SOON ANAREJEA...

FIFA WATUA NCHINI KUCHUNGUZA TUHUMA ZA UPANGAJI MATOKEO

Ujumbe wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (Fifa) upo nchini kuchunguza tuhuma za upangaji matokeo. Waamuzi waliosimamishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu  Tanzania (TFF) pamoja na watu wengine watahojiwa na ujumbe huo. Matokeo ya uchunguzi huo yatatangazwa na...

MLIBERIA WA YANGA ATAKA APEWE MUDA TU, ANA UHAKIKA ATATUPIA TU NYAVUNI.

Mshambuliaji wa Yanga, Kpah Sherman, amewataka mashabiki na wanachama wa Yanga kutomkatia tamaa kutokana na ukame wa mabao na kusema wanatakiwa kuwa wavumilivu. Nyota huyo wa zamani wa Cetinkaya ya nchini Cyprus, anaaminika kuwa na makeke pamoja na usumbufu kwa safu za ulinzi, lakini kikwazo...

Gabriel Paulista completes £11.2m Arsenal transfer... as Joel Campbell signs new contract before loan to Villarreal

Gabriel Paulista has signed a four-and-a-half year contract at Arsenal The defender will earn a basic salary of around £60,000-a-week at the Emirates  He said: 'Fans can expect to find a Gabriel with a great will to help everyone.'  Joel Campbell joins Villarreal on loan for rest...

IVORY COAST YASONGA ROBO FAINALI AFCON, CAMEROON YASHIKA MKIA, NJE

Ivory Coast imefuzu hadi hatua ya robo fainali ya michuano ya Afcon inayoendelea nchini Equatorial Guinea baada ya kuichapa Cameroon kwa bao 1-0. Lakini pigo kwa Afrika Magharibi baada ya Cameroon kufuzu katika hatua hiyo ya makundi. Lakini gumzo ni Mali na Guinea ambazo zimeringana pointi...

BREAKING NEWS:TOTENHAM 2 Vs 2 SHEFFIELD UTD

MPIRA UMEISHA...................................