
Na Hemed Kivuyo, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI
kamati ya usajili ya timu ya soka ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe
amewatolea uvivu wale wanaojiita `mawakala `wa wachezaji hapa nchini
waliyoanza kujitokeza Nyakati hizi za Usajili wakipanga bei za Wachezaji
bila kufuata utaratibu.
Amesema
kuwa wakati...