SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

May 25, 2015

HUU NDIO UAMUZI WA MAN U KWA FALCAO

  Frank Lampard, Didier Drogba, Steven Gerrard na Brad Fiedal leo watacheza mechi zao za mwisho katika ligi kuu ya England baada ya miaka zaidi ya 10 kwa kila mmoja wao. Hata hivyo macho na masikio ya wapenzi wengi wa soka yapo katika kuangalia hatma ya mshambuliaji wa kicolombia Radamek...

TFF YATOA MAAMUZI JUU YA MART NOOIJ

Kamati ya utendaji ya TFF imesikitishwa na mwenendo mbovu wa Taifa Stars Rais wa TFF, Jamal Malinzi kwa niaba ya kamati ya utendaji amewaomba radhi wapenzi wa mpira kwa matokeo mabaya ya Taifa Stars kwenye michuano ya  Cosafa. Kikao cha kamati ya utendaji kilipokea taarifa juu ya mwenendo...

KUHUSU CHANONGO KUMALIZANA NA YANGA MENEJA WAKE ANEA

STORI ya winga Haruna Chanongo kusajiliwa na Yanga imegonga vichwa vya habari nchini, lakini taarifa mpya kutoka kwa Meneja wake, Jamal Kasongo ni kwamba bado nyota huyo hajamwaga wino Jangwani. Msimu uliopita wa ligi kuu soka Tanzania bara uliomalizika mei 9 mwaka huu, Chonongo alikuwa anaichezea...

HUYU NDIYE ATAKAE ZIBA PEGO LA NGASSA YANGA

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA SC imewapiga bao wapinzani, Simba SC na Azam FC katika vita ya kuwania saini ya kiungo hodari wa pembeni, Deus Kaseke. Kaseke amesaini Mkataba wa miaka miwili na Yanga SC asubuhi ya leo, makao makuu ya klabu, Jangwani, Dar es Salaam mbele ya Katibu...

PETER MWALYANZI ASAINI SIMBA MIAKA MIWILI

Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES ALAAM WAKATI Yanga SC wakisherehekea saini ya winga Deus Kaseke, Simba SC nao wamefanya yao mchana huu. Kiungo hodari mchezeshaji Peter Mwalyanzi kutoka timu ile ile, Mbeya City aliyotokea Kaseke amesaini Mkataba wa miaka miwili kujiunga na Wekundu wa Msimbazi. Mwalyanzi ...