Mshambuliaji wa Yanga, Amissi Tambwe ambaye amefunga bao la pili katika mechi ya leo ambapo Yanga imeilaza Simba kwa mabao 2-0. Beki Abdi Banda alilambwa kadi ya njano ya pili katika dakika ya 25 na kuzaa nyekundu baada ya kumwangusha Donald Ngoma.
Tambwe alifunga bao katika dakika ya 72 baada ya beki...