Na Haji balou
Timu ya Boda boda fc imeibuka na ushindi wa goli 3-1 dhidi ya Black stars katika mchezo wa ligi ya Mbuzi ya Vijana Cup mchezo uliopigwa katika uwanja wa shule ya Msingi Muungano.
Magoli ya Boda boda fc yamefungwa dakika ya 27 kupitia kwa kiungo wake mshambuliaji Abuu pia goli...