
MBEYA City imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Stand United ya Shinyanga jioni ya leo Uwanja wa Sokoine, Mbeya.Mabao
ya Mbeya City inayodhaminiwa na kampuni ya Bin Slum Tyres Limited
kupitia betri za RB, yamefungwa na Yussuf Abdallah dakika ya 65 kwa
penalti na Paul Nonga dakika...