SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Apr 27, 2015

TAMBWE AWAGARAGAZA SIMBA SC ‘KIZIMBA CHA TFF’, WATAKIWA KUMLIPA MAMILIONI YAKE, VINGINEVYO WATAKOMA!

Na Princess Asia, DAR ES SALAAMMSHAMBULIAJI Amissi Tambwe ameshinda kesi dhidi ya klabu yake ya zamani, Simba SC juu ya mafao yake.Simba SC ilimtema mshambuliaji huyo wa Burundi ndani ya Mkataba, lakini ikashindwa kumlipa, naye akafungua kesi Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).Kesi...

MAGAZETI YA MICHEZO LEO 27 APRIL YAPO HAPA

...

GERRARD, LAMPARD WAPEWA 'HESHIMA YAO' ENGLAND

VIUNGO  wa zamani wa kimataifa wa England, Steven Gerrard na Frank Lampard usiku huu wamepewa tuzo kutokana na mchango wao mkubwa katika Ligi Kuu ya England. Wawili hao wanaohamia Marekani mwishoni mwa msimu baada ya kucheza England kwa muda mrefu, wamepewa tuzo hizo na Chama cha Wachezaji...

CHICHARITO AMSUTA HENRY, AIPIGIA MBILI REAL IKICHAPA MTU NNE LA LIGA

NYOTA ya mshambuliaji Javier Hernandez ‘Chicharito’ imeendelea kung’ara baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid ikiibuka na ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji Celta Vigo Uwanja wa Balaidos katika mchezo wa La Liga usiku wa kuamkia leo. Real sasa inapunguza pengo la idadi ya pointi...

HAZARD MCHEAJI BORA WA MWAKA ENGLAND

Na Anwar Binde, Baada ya kusubiri kwa misimu miwili hatimae Eden Hazard wa Chelsea ameibuka mchezaji bora wa mwaka wa England na kutwaa tuzo ya PFA. Hazard mwenye umri wa miaka 24 amefunga mabao 13 na na kusaidia wafungaji (assists) 8 katika michezo 33 ya ligi kuu ya nchi hiyo na kuisaidia...