SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Jun 2, 2015

AZAM FC YAWARUHUSU SIMBA KUMCHUKUA BEKI HUYU

Na Prince Akbar, DAR ES SALAAM AZAM FC imewataka Simba SC kuwasilisha maombi ya kumchukua beki David Mwantika (pichani kushoto) kama kweli kweli wanamuhitaji. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba ameiambia BIN ZUBEIRY jana kwamba, Mwantika ana Mkataba na klabu hiyo hadi mwishoni mwa...

BERBATOV 'AFUNGASHIWA VIFURUSHI' VYAKE AS MONACO

MSHAMBULIAJI wa zamani wa kimataifa wa Bulgaria, Dimitar Berbatov anatafuta timu ya tatu ya kujiunga nayo England, baada ya kutemwa na AS Monaco ya Ufaransa. Berbatov alijiunga na vigogo hao wa Ligue 1 Januari mwaka 2014 kutoka Fulham ya England na atakumbukwa kwa kufunga bao...

HANS POPPE: SIMBA SC HATUSAJILI ‘BENDERA FUATA UPEPO’

Na Princess Asia, DAR ES SALAAM MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (pichani juu) amesema kwamba ‘hawasajili bendera fuata upepo’, bali wanasajili kulingana na mahitaji ya timu yao. Akizungumza na BIN ZUBEIRY jana, Poppe amesema kwamba watu wanapenda...

MBEYA CITY YASAJILI 'STRAIKA'

Na Mwandishi Wetu, MBEYA MSHAMBULIAJI wa kutumainiwa wa Ndanda FC ya Mtwara, Gideon Brown (pichani juu) amesaini Mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na Mbeya City FC ya Mbeya. Brown amechagua kujiunga na kikosi cha Juma Mwambusi katika msimu ujao huku akiweka kando ofa kadhaa, alizopata...