SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Feb 14, 2015

TAMBWE ATUPIA ZOTE YANGA IKIICHAPA 2-0 BDF

YANGA SC imeanza vizuri michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika kufuatia kuichapa mabao 2-0 BDF XI ya Botswana katika mchezo wa kwanza wa raundi ya awali uliomalizika jioni hii uwanja wa Taifa, jijini Dar es salaam. Mabingwa hao mara 24 wa Tanzania walianza mechi hiyo kwa kuonesha...

UNAHISI COLLABO NA DAVIDO NI SH NGAPI? HII INAMUHUSU

Fans wa muziki ni mashuhuda wa Collabo kali ambazo staa wa Nigeria, DAVIDO ameshiriki na kuzifanya kuwa nyimbo kubwa Afrika na Duniani, sikuwahi kusikia juu ya kiwango cha pesa ambacho analipwa ili kufanya collabo, unaweza kuhisi anahitaji pesa kiasi gani ili afanye collabo yoyote? Kwenye...

JUAN MATA KUTIMKIA BARCELONA

KIUNGO wa Manchester United, Juan Mata ameingia katika rada za usajili za Barcelona kwa mwaka 2016 na tayari miamba hiyo ya Katalunya imeshaanza mipango ya usajili kwa mwaka ujao. Kikosi cha  Luis Enrique bado kinatumikia...

TAMBWE APELEKA FURAHA JANGWANI

Magoli mawili ya mshambuliaji Amisi Tambwe yameipa ushindi timu ya Yanga  dhidi ya PDF ya Botswana katika mchezo uliochezwa jioni h...

ALONSO ATAJA KIKOSI CHAKE BORA LIGI YA MABINGWA

AKIWA amecheza kwa zaidi ya muongo mmoja Ulaya, hapana shaka ni sahihi kusema Xabi Alonso anamjua mchezaji mzuri.  Akiwa ameshinda taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya mara mbili, kiungo huyo wa zamani wa Liverpool ametaja kikosi cha wachezaji 11 bora wa muda wote katika zama zake wa Ligi ya Mbingwa...

SCHOLES ANENA

  Aliyekuwa kiungo wa kati wa kilabu ya Manchester United Paul Scholes amesema kuwa mtindo wa timu hiyo ni m'bovu na unaenda kinyume na utamaduni wa kilabu hiyo wa kushambulia. Mkufunzi Luois Van Gaal ameutetea mtindo huo baada ya kocha wa West Ham Sam Allardyce kuiita timu hiyo ''Long Ball...

PELLEGRINI: HATUMTEGEMEI YAYA

  Mkufunzi wa Manchester United Manuel Pelegrini ana matumaini kwamba Manchester City inaweza kupambana ili kushinda taji la ligi kuu nchini Uingereza bila nyota wake Yaya Toure. City haijashinda mechi yoyote ya ligi ya EPL tangu Toure aelekee Afrika katika michuano ya mataifa ya Afrika. ''Ni...

LEO SIKU YA WAPENDANAO DUNIANI, LAKINI UNAJUA VITU HIV

KIVYAKO VYAKO,,,,, Mshambuliaji wa kimataifa wa England,,, ambaye kwa sasa anakipiga Sunderland,,, (Jamein defoe),,, ameweka rekodi ya kuzifunga timu zote za ligi kuu England,,, huku mhanga wa kipigo kikubwa wakiwa ni Man city,,, waliofungwa goli 6 ,,, ,,,,,,,,,,, JILIWAZE KIDOGO,,,,,, ...

FA CUP KUENDELEA LEO

RAUNDI ya tano ya kombe la FA nchini England inaendelea leo kwa mechi nne kupigwa. West Brom wako nyumbani kuikaribisha West Ham United, wakati Derby inachuana na Realding. Mechi nyingine inawakutanisha Blackburn dhidi ya Stoke City. Wekundu wa Anfield, Liverpool wanashuka dimbani ugenini kuchuana...

OKWI NTAKOMAA NA YANGA MPAKA KIELEWEKE

Baada ya kipa Juma Kaseja kufikishwa mahakamani na Klabu ya Yanga kwa madai ya kuvunja mkataba na klabu hiyo, mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi amesisitiza kuwa atapambana mpaka mwisho na Yanga ili wamlipe haki yake anayoidai. Okwi, kupitia Kampuni ya Agaba Muhairwe & Co Advocates...

OMOG KUWEKA REKODI LEO

Kocha Mkuu wa Azam FC, Joseph Omog, raia wa Cameroon, anatarajiwa kuweka rekodi atakapoiongoza timu yake hiyo kuvaana na mabingwa wa Sudan, El Merreikh katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar. Kocha huyo ataingia kwenye vitabu vya kumbukumbu...

MSUVA USHINDI LAZIMA

Kiungo mwenye kazi wa Yanga, Simon Msuva, naye hakuwa nyuma kuelekea katika mchezo huo baada ya kufunguka kwa kusema kuwa wapinzani wao  BDF XI hao lazima wajipange kwa kuwa yupo fiti. Yanga  inashuka dimbani kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuwavaa BDF XI ya Botswana...