
NYOTA
wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo kwa sasa anashika nafasi ya 29 katika
orodha ya washambuliaji bora wa ligi tano kubwa Ulaya wakati nyota wa
Barcelona, Lionel Messi anashika nafasi ya kwanza.
Shirika la CIES Football Observatory limeorodhesha
wachezaji wachezaji bora katika...