SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

Feb 28, 2015

SAMATTA :SINA FURAHA TP MAZEMBE

Samatta alikwenda kufanya majaribo CSK Moscow ya Urusi, lakini hakufanikiwa baada ya kupata majeruhi ya kifundo cha mguu Na Baraka Mbolembole, Dar es Salaam,  Mshambulizi wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta ameweka wazi kuwa ataachana na mabingwa mara nne wa kihistoria wa Afrika,...

WALICHO FANYIWA AZAM FC SUDAN KABLA YA MECHI YA LEO

Azam FC leo saa mbili usiku itajitupa kwenye uwanja wa AlMerrikh kukwaana na Al Merrikh SC. Azam FC ambayo ilitua hapa Khartoum Jumanne 24/2/2015 imekuwa katika hali nzuri tangia kuwasili. Vijana wa kitanzania wanaosoma hapa Khartoum wamekuwa wenyeji wetu. Azam FC imekodi Apartment nzima,...

DI MARIA AJUTA KUJIUNGA MAN UNITED

Mchezaji wa Manchester United Angel Di Maria Mchezaji nyota ambaye pia ni kiungo wa kati wa Manchester United Angel Di Maria amesema kuwa alifanya makosa kujiunga na Kilabu ya Manchester United msimu uliopita. Raia huyo wa Argentina amejaribu kuingiana na maisha...

SIMBA YATAKATA TAIFA AJIBU APIGA HAT-TRICK

Na Richard Bakana, Dar es salaam Klabu ya Simba ya Jijini Dar es salaam leo imefanikiwa kutoa dozi ya msimu kwa maafande wa Tanzania Prisons, baada ya kuwafunga mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania bara uliopigwa katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.  Katika mchezo huo...

VAN GAAL ATAJA TATIZO LA MAN UNITED

Kilabu ya Manchester United haiwezi kushinda taji la ligi kwa kuwa haina mshambuliaji mwenye uwezo wa kufunga mabao 20 kwa msimu. Meneja Luois Van Gaal amesema kuwa mshambuliaji mwenye mabao mengi katika klabu hiyo ni Van Persie mwenye mabao 10 pekee ikilinganishwa na Diego Costa na Sergio Aguerro...

KAPTENI JOHN KOMBA ALIYEIMBA 'MGENI' AFARIKI DUNIA

MBUNGE wa Mbinga Magharibi na mkurugenzi wa Tanzania One Theatre (TOT) Kapten John Komba amefariki dunia muda huu.Katibu mipango wa TOT, Gasper Tumaini ameithibitishia BIN ZUBEIRY jioni hii kwamba, Komba amefari na taarifa zaidi zitatoka hapo baadaye.Kwa muda mrefu tangu amestaafu jeshi, Komba...