
Baada ya status ya Adebayor ambayo ilishtua watu wengi kwenye mtandao
hao mchezaji Didier Drogba alimpost Adebayor na kumuombea mambo ambayo
yanaenda vibaya na familia yake yaende vizuri. Sasa kwenye ile ile post
dada yake Adebayor anaitwa Lucia Adebayor amemjibu akienda kinyume na
status ya...