
WANASOKA
wawili mahasimu, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo wanaweza kujikuta
katika kikosi kimoja kucheza mechi ya UEFA All-Star itakayohusisha
wachezaji bora zaidi Ulaya, kwa mujibu wa taarifa kutoka Hispania.
Wanaweza
kuchezea 'Team South', nyota wa Ulaya Kusini ambao watatoka...