SAMATTA ATUPIA GENK IKIUA 2-1

May 1, 2015

TAZAMA WACHEZAJI WA YANGA WALIVYOSHOO LOVE TUNISIA

 Kutoka kulia, Mkuu wa idara ya habari na Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro, Jerryson Tetege, Amissi Tambwe na Mbuyu Twite wakishoo ‘Love’ nchini Tunisia baada ya kutua wakitokea Dubai. Yanga na Etoile du Sahel zitachuana jumamosi kuanzia saa 3:00 kwa saa za Tanzania katika mechi ya marudiano...

BEKI MBELGIJI AFARIKI DUNIA

Beki wa klabu ya Sporting Lekeren ya nchini Ubeligiji,Gregory Mertens amefariki dunia leo siku tatu tangu aanguke uwanjani wakati akikichezea kikosi cha akiba cha timu hiyo dhidi ya Genk. Mchezaji huyo aliyewahi kuiwakilisha ubelgiji katika timu chini ya miaka 21,alianguka kufuatia kusumbuliwa...

YANGA SC ‘WACHOMESHWA’ SAA MBILI UWANJA NDEGE TUNIS, WAPEWA BASI KUSAFIRI KILIMOTA 140 KUWAFUATA ETOILE ‘KIJIJINI KWAO’

Na Prince Akbar, TUNISMSAFARA wa Yanga SC imetua salama mjini Tunis na baada ya kugandishwa kwa saa zaidi ya mbili Uwanja wa Tunis, imeanza safari ya basi kuelekea mji mdogo wa Sousse kwa wenyeji wao, Etoile du Sahel umbali wa kilomita 140.Yanga SC iliondoka usiku wa jana kwenda Tunisia...

JOHN TERRY SASA NDIYE BEKI MFUNGAJI BORA KIHISTORIA LIGI KUU ENGLAND

NAHODHA wa Chelsea, John Terry sasa ndiye mchezaji wa nafasi za ulinzi aliyefunga mabao mengi zaidi Ligi Kuu England baada ya Jumatano kufunga katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Leicester. Nahodha huyo wa zamani wa England alimtungua kipa Kasper Schmeichel Uwanja wa King Power jana kufunga...